Kwa kawaida Chelsea huvaa jezi ya blu, kaptula blu na soksi nyeupe. Nembo ya klabu imebadilishwa mara nyingi kulingana na wakati na kuboresha muonekano wa klabu. Nembo ya sasa inaonesha picha ya simba akiwa amebeba mkuki. Tangu Julai 2003, Chelsea imekuwa ikimilikiwa na Bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich.
Je,mmiliki wa klabu ya Chelsea anaitwa nani?
Ground Truth Answers: Roman AbramovichRoman AbramovichRoman Abramovich
Prediction: